Agano la Kale

Agano Jipya

Wafilipi 3:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Yeye ataibadili miili yetu dhaifu na kuifanya ifanane na mwili wake mtukufu, kwa nguvu ile ambayo kwayo anaweza kuviweka vitu vyote chini ya utawala wake.

Kusoma sura kamili Wafilipi 3

Mtazamo Wafilipi 3:21 katika mazingira