Agano la Kale

Agano Jipya

Yohane 11:54 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, Yesu hakutembea tena hadharani kati ya Wayahudi, bali alitoka hapo, akaenda mahali karibu na jangwa, katika mji uitwao Efraimu. Akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.

Kusoma sura kamili Yohane 11

Mtazamo Yohane 11:54 katika mazingira