Agano la Kale

Agano Jipya

Yohane 16:32 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo nyinyi nyote mtatawanywa kila mtu kwake, nami nitaachwa peke yangu. Kumbe, lakini mimi siko peke yangu, maana Baba yu pamoja nami.

Kusoma sura kamili Yohane 16

Mtazamo Yohane 16:32 katika mazingira