Agano la Kale

Agano Jipya

Yohane 19:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Ilikuwa Ijumaa, siku ya Maandalio. Kwa hiyo, kusudi miili isikae msalabani siku ya Sabato, maana siku hiyo ya Sabato ilikuwa siku kubwa, Wayahudi walimwomba Pilato miguu ya hao waliosulubiwa ivunjwe na miili yao iondolewe.

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:31 katika mazingira