Agano la Kale

Agano Jipya

Yohane 19:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Makuhani wakuu na walinzi walipomwona wakapaza sauti: “Msulubishe! Msulubishe!” Pilato akawaambia, “Mchukueni basi, nyinyi wenyewe mkamsulubishe, kwa maana mimi sikuona hatia yoyote kwake.”

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:6 katika mazingira