Agano la Kale

Agano Jipya

Yohane 21:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, habari hiyo ikaenea miongoni mwa wale ndugu kwamba mwanafunzi huyo hafi. Lakini Yesu hakumwambia kwamba mwanafunzi huyo hafi, ila, “Kama nataka abaki mpaka nitakapokuja, yakuhusu nini?”

Kusoma sura kamili Yohane 21

Mtazamo Yohane 21:23 katika mazingira