Agano la Kale

Agano Jipya

Yohane 3:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Baada ya hayo, Yesu alifika mkoani Yudea pamoja na wanafunzi wake. Alikaa huko pamoja nao kwa muda, akibatiza watu.

Kusoma sura kamili Yohane 3

Mtazamo Yohane 3:22 katika mazingira