Agano la Kale

Agano Jipya

Yohane 9:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Wazazi wake walisema hivyo kwa sababu waliwaogopa viongozi wa Wayahudi kwani viongozi hao walikuwa wamepatana ya kwamba mtu yeyote atakayekiri kwamba Yesu ni Kristo atafukuzwa nje ya sunagogi.

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:22 katika mazingira