Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 16:35 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwambieni Mwenyezi-Mungu:Utuokoe, ee Mungu wa wokovu wetu,utukusanye pamoja na kutuokoa kutoka kwa mataifa,tupate kulisifu jina lako takatifu,kuona fahari juu ya sifa zako.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 16

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 16:35 katika mazingira