Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 28:18 Biblia Habari Njema (BHN)

na kiasi cha dhahabu safi ya kutengenezea madhabahu ya kufukizia ubani. Alimpa pia mfano wake wa gari la dhahabu la viumbe wenye mabawa waliyotandaza mabawa na kulifunika sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 28:18 katika mazingira