Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 9:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Shalumu, mwana wa Kore, mwana wa Ebiasafu, pamoja na ndugu zake wa ukoo wa Kora, walikuwa na wajibu wa kuyatunza maingilio ya hema la mkutano, kama vile walivyokuwa babu zake wakati wa ulinzi wa kambi ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 9

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 9:19 katika mazingira