Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme Ahabu wa Israeli akajibu, “Mwambieni mfalme Ben-hadadi kwamba shujaa hujisifu baada ya vita, si kabla!”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:11 katika mazingira