Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao watu wa Israeli walikusanywa na kupewa silaha, wakaenda kuwakabili Waaramu. Watu wa Israeli walipiga kambi, wakaonekana kama vikundi vidogovidogo vya mbuzi, lakini Waaramu walitapakaa kote nchini.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:27 katika mazingira