Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 22:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo, mfalme wa Israeli pamoja na Yehoshafati mfalme wa Yuda, walikuwa wameketi katika viti vyao vya enzi wakikaa kwenye kiwanja cha kupuria nafaka kwenye lango la kuingilia mjini Samaria nao walikuwa wamevalia mavazi yao ya kifalme; wakati huo manabii wote wakawa wanatabiri mbele yao.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 22

Mtazamo 1 Wafalme 22:10 katika mazingira