Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Zaidi ya hayo, nimetenga mahali pa kuweka sanduku la agano ambalo ndani yake mna agano alilofanya Mwenyezi-Mungu na babu zetu, wakati alipowatoa katika nchi ya Misri.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:21 katika mazingira