Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:36 Biblia Habari Njema (BHN)

tafadhali, uwasikie kutoka huko mbinguni, na usamehe dhambi za watumishi wako, watu wako Israeli, huku ukiwafundisha kufuata njia nyofu; ukanyeshe mvua katika nchi yako hii ambayo uliwapa watu wako iwe mali yako.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:36 katika mazingira