Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Yafuatayo ni maelezo juu ya jinsi mfalme Solomoni alivyotumia kazi za kulazimishwa kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu, ikulu yake, ngome ya Milo na ukuta wa Yerusalemu, na pia katika kujenga upya miji ya Hazori, Megido na Gezeri;

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 9

Mtazamo 1 Wafalme 9:15 katika mazingira