Agano la Kale

Agano Jipya

2 Samueli 15:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Lirudishe sanduku la agano la Mungu mjini. Kama ninakubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena sanduku lake na kuyaona maskani yake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 15

Mtazamo 2 Samueli 15:25 katika mazingira