Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 10:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Yehu akatoka tena na alipofika njiani akakutana na Yehonadabu mwana wa Rekabu; Yehu akamsalimu, kisha akamwambia “Wewe una mawazo sawa na yangu? Je, utajiunga nami na kunisaidia?” Yehonadabu akamjibu, “Naam, nitajiunga nawe:”Yehu akasema, “Basi, nipe mkono wako.” Wakashikana mikono na Yehu akampandisha garini mwake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:15 katika mazingira