Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Walipofika Samaria, Yehu aliua jamaa yote ya Ahabu bila kumwacha hata mmoja wao. Ikawa sawa kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Elia itakavyokuwa.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:17 katika mazingira