Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 10:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha akaingia pamoja na Yehonadabu kumtolea Baali matambiko na tambiko za kuteketezwa. Yehu alikuwa ameweka watu themanini nje ya hekalu na kuwapa maagizo haya: ‘Waueni watu hawa wote. Yeyote atakayemwacha hata mmoja wao atoroke atalipa kwa maisha yake!’”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:24 katika mazingira