Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 5:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Naamani akasema, “Ikiwa hutapokea zawadi zangu, basi tafadhali umpatie mtumishi wako udongo unaoweza kubebwa na nyumbu wawili, kwani toka leo mimi mtumishi wako sitatoa sadaka za kuteketezwa wala tambiko kwa miungu mingine ila tu kwa Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5

Mtazamo 2 Wafalme 5:17 katika mazingira