Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 5:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Elisha, nabii wa Mungu, alipopata habari kwamba mfalme wa Israeli ameyararua mavazi yake, alituma ujumbe kwa mfalme, akamwuliza, “Mbona umeyararua mavazi yako? Mlete mtu huyo kwangu, ili apate kujua kwamba kuna nabii katika Israeli?”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5

Mtazamo 2 Wafalme 5:8 katika mazingira