Miongoni mwa mierezi ya bustanini mwa Mungu,hakuna mti uliolingana nao,wala misonobari haikulingana na matawi yake,mibambakofi haikuwa na matawi kama yake,hata mti wowote wa bustani ya Munguhaukulingana nao kwa uzuri.