Agano la Kale

Agano Jipya

Hagai 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata hivyo, usife moyo, ewe Zerubabeli. Jipe moyo, kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehosadaki. Jipeni moyo nanyi watu wote wa nchi hii. Fanyeni kazi, maana mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nipo pamoja nanyi.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:4 katika mazingira