“Nitaimwagilia maji nchi iliyokauka,na kutiririsha mto katika nchi kame.Nitawamiminia roho yangu wazawa wako,nitawamwagia watoto wako baraka yangu.