Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 5:5 Biblia Habari Njema (BHN)

“Na sasa nitawaambieninitakavyolifanya hilo shamba langu.Nitauondoa ua wake,nalo litaharibiwa.Nitaubomoa ukuta wake,nalo litakanyagwakanyagwa.

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:5 katika mazingira