Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Naam! Shamba la mizabibu la Mwenyezi-Mungu wa majeshini jumuiya ya Waisraeli,na mizabibu mizuri aliyoipanda ni watu wa Yuda.Yeye alitazamia watende haki,badala yake wakafanya mauaji;alitazamia uadilifu,badala yake wakasababisha kilio!

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:7 katika mazingira