Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 58:13 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kama ukiacha kufanya kazi siku ya Sabato,ukaacha shughuli zako siku yangu hiyo takatifu;kama ukiifanya siku yangu kuwa ya furaha,ukaiheshimu siku hiyo takatifu ya Mwenyezi-Mungu,ukaacha na shughuli zako na kupiga domo,

Kusoma sura kamili Isaya 58

Mtazamo Isaya 58:13 katika mazingira