Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 24:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)

21. Mnapochuma zabibu, msirudi kuokota zabibu zilizobaki ila waachieni wageni, yatima na wajane.

22. Mtakumbuka kuwa nyinyi mlikuwa watumwa nchini Misri; kwa hiyo ninawapeni amri hii.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 24