Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 28:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Maadui zenu wakiwashambulia, Bwana atawapeni ushindi juu yao. Wakija kuwashambulia kwa njia moja watawakimbieni kwa njia saba.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:7 katika mazingira