Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 27:9 Biblia Habari Njema (BHN)

“Utatengeneza ua wa hema la mkutano. Upande wa kusini wa ua kutakuwa na vyandarua vilivyotengenezwa kwa kitani safi iliyosokotwa ambavyo vitakuwa na urefu wa mita 44 kwa upande mmoja.

Kusoma sura kamili Kutoka 27

Mtazamo Kutoka 27:9 katika mazingira