Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu wa baba yako; Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo.” Mose akaufunika uso wake kwa kuwa aliogopa kumwangalia Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 3

Mtazamo Kutoka 3:6 katika mazingira