Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 35:35 Biblia Habari Njema (BHN)

Amewapa ujuzi wa kufanya kila kazi ya ufundi au ifanywayo na watu wa sanaa au mafundi wa kutarizi kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa, kwa kutumia ufundi wowote wa msanii.

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:35 katika mazingira