Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 24:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Msichana huyo alikuwa na sura ya kuvutia sana, na bikira ambaye hakuwa amelala na mwanamume yeyote. Basi, akateremka kisimani, akaujaza mtungi wake maji na kupanda.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:16 katika mazingira