Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 37:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Yosefu akaota ndoto nyingine, akawasimulia ndugu zake akisema, “Sikilizeni, nimeota ndoto nyingine; nimeona jua, mwezi na nyota kumi na moja vinaniinamia.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:9 katika mazingira