Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 9:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Wanyama wote, ndege wote wa angani, viumbe wote watambaao juu ya nchi na samaki wote wa baharini watakuwa na hofu na kuwaogopa nyinyi. Wote wamewekwa chini ya mamlaka yenu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 9

Mtazamo Mwanzo 9:2 katika mazingira