Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 3:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Sehemu inayofuata tangu mlangoni mwa nyumba ya Eliashibu, kuhani mkuu, hadi mwisho wa nyumba hiyo, ilijengwa upya na Meremothi, mwana wa Uria, mwana wa Hakosi.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:21 katika mazingira