Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Walawi wafuatao walisaidia kuwaelewesha watu sheria: Yeshua, Bani, Sherebia, Yamini, Akubu, Shabethai, Hodia, Maaseya, Kelita, Azaria, Yozabadi, Hanani na Pelaya; walifanya hivyo kila mmoja akiwa amesimama mahali pake.

Kusoma sura kamili Nehemia 8

Mtazamo Nehemia 8:7 katika mazingira