Agano la Kale

Agano Jipya

Obadia 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Msingalifurahia siku hiyo ndugu zenu walipokumbwa na mikasa;msingaliwacheka Wayudana kuona fahari wakati walipoangamizwa;msingalijigamba wenzenu walipokuwa wanataabika.

Kusoma sura kamili Obadia 1

Mtazamo Obadia 1:12 katika mazingira