Agano la Kale

Agano Jipya

Obadia 1:15 Biblia Habari Njema (BHN)

“Siku inakaribia ambapo mimi Mwenyezi-Mungunitayahukumu mataifa yote.Kama mlivyowatendea wengine, ndivyo mtakavyotendewa,mtalipwa kulingana na matendo yenu.

Kusoma sura kamili Obadia 1

Mtazamo Obadia 1:15 katika mazingira