Agano la Kale

Agano Jipya

Ruthu 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Boazi akamjibu, “Nimeyasikia yote uliyomfanyia mama mkwe wako tangu mumeo afariki. Ninajua jinsi ulivyowaacha wazazi wako, ukaiacha nchi yako, na jinsi ulivyokuja kuishi kati ya watu ambao hukuwajua hapo awali.

Kusoma sura kamili Ruthu 2

Mtazamo Ruthu 2:11 katika mazingira