Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 19:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini huyo mtu alikataa kulala huko usiku huo. Basi, akainuka, akaondoka akafika karibu na mji wa Yebusi (yaani Yerusalemu). Alikuwa na wale punda wake wawili waliotandikwa tayari, pamoja na suria wake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 19

Mtazamo Waamuzi 19:10 katika mazingira