Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 9:43 Biblia Habari Njema (BHN)

Akachukua watu wake akawagawa katika vikosi vinne, ili waende kuvizia mashambani. Alipowaona watu wanatoka mjini, akatoka alikojificha akawaua.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:43 katika mazingira