Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 11:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, sasa, mimi Mwenyezi-Mungu ninawaonya kwamba nitawaletea maafa ambayo hawataweza kuepukana nayo. Hata kama wakinililia namna gani, sitawasikiliza.

Kusoma sura kamili Yeremia 11

Mtazamo Yeremia 11:11 katika mazingira