Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo, mji wa Yerusalemu utaitwa ‘Kiti cha Enzi cha Mwenyezi-Mungu’, na mataifa yote yatakusanyika humo mbele yangu. Hawatafuata tena ukaidi wa matendo yao.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:17 katika mazingira