Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 46:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata askari wake wa kukodiwa ni kama ndama wanono;nao pia wamegeuka, wakakimbia pamoja,wala hawakuweza kustahimili,kwa maana siku yao ya kuangamizwa imefika,wakati wao wa kuadhibiwa umewadia.

Kusoma sura kamili Yeremia 46

Mtazamo Yeremia 46:21 katika mazingira