Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 24:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Waisraeli walimtumikia Mwenyezi-Mungu muda wote wa uhai wa Yoshua, na baada ya kifo chake, waliendelea kumtumikia kwa muda walioishi wale wazee waliokuwa wameona kwa macho yao mambo yale Mwenyezi-Mungu aliyowatendea Waisraeli.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:31 katika mazingira