Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 8:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme wa mji wa Ai alipoona hivyo, aliharakisha na kwenda kwenye mteremko wa kuelekea Araba ili akabiliane na Waisraeli vitani. Lakini hakujua kwamba mji wake ulikuwa umeviziwa kutoka nyuma.

Kusoma sura kamili Yoshua 8

Mtazamo Yoshua 8:14 katika mazingira