Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 5:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Gehazi, mtumishi wa Elisha mtu wa Mungu, akasema, “Tazama, bwana wangu amemwachilia Naamani Mwaramu aende bila kupokea chochote alicholeta. Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo nitamfuata ili nipate kitu kutoka kwake.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5

Mtazamo 2 Wafalme 5:20 katika mazingira